Africans Rising inatoa wito wa kufanyika kwa Uchaguzi wa Amani, Huru na Haki nchini Nigeria
Ili nchi iwe na demokrasia ya kweli, ni lazima raia wake wapate fursa ya kuchagua viongozi na wawakilishi wao kupitia chaguzi za amani, huru na za haki. Juhudi muhimu za maendeleo haziwezi kufanikiwa bila serikali halali na iliyochaguliwa kidemokrasia ambayo…